Class Notes (838,455)
Canada (510,888)
York University (35,470)
Swahili (1)
SWAH 1000 (1)
all (1)
Lecture

Swahili Essay Nilipokuwa kijana.docx

2 Pages
161 Views
Unlock Document

Department
Swahili
Course
SWAH 1000
Professor
All Professors
Semester
Winter

Description
Utotoni wangu na umuhimu wa utotoni! Nilipokuwa mtoto, nilikuwa ni motto mzuri. Nilijaliwa na familia nzuri sana. Baba yangu ana akili nyingi, na mama yangu alijaliwa watoto watatu. Familia yangu ilinipa utotoni mzuri. Baba yangu alinipa utoto mzuri kwa sababu alinifundisha mambo mengi kama; jinsi ya kuendesha baiskeli, kuendesha gari, kupika vyakula mbali mbali, na jinsi ya kufanya biashara. Mama yangu alinipa upendo na alinijali. Alinifundisha jinsi ya kufanya kazi kwa bidii, aliniambia nisikubali kushindwa, alinifundisha kuthamini familia, na mimi kamwe sitaacha upendo wake. Mambo wazazi wangu waliyonifundisha yamenisaidia kuwa mtoto mzuri na yalinisaidia kupatana na kila mtu. Kaka zangu walinisaidia kupata utoto mzuri kwa sababu sisi ni marafiki karibu sana na tulipenda kucheza pamoja. Tulipanda mabaiskeli pamoja, tukacheza michezo pamoja, tuna nyakati nyingi nzuri pamoja. Mimi nilisafiri mara nyingi na familia yangu. Tulikuwa na bahati ya kuwa na uwezo wa kusafiri na kuona nchi nyingi tofauti na tamaduni mbalimbali. Tulizotembelea ni; Rwanda, Kenya, Tanzania, Swaziland, Afrika Kusini, Visiwa vya Komoro, Dub
More Less

Related notes for SWAH 1000

Log In


OR

Join OneClass

Access over 10 million pages of study
documents for 1.3 million courses.

Sign up

Join to view


OR

By registering, I agree to the Terms and Privacy Policies
Already have an account?
Just a few more details

So we can recommend you notes for your school.

Reset Password

Please enter below the email address you registered with and we will send you a link to reset your password.

Add your courses

Get notes from the top students in your class.


Submit